kiwanja goba-mivumoni ,sqm 500 milion 17.5 - TZS 17,500,000

Details
  • Name:

    Kiwanja Goba-mivumoni ,sqm 500 Milion 17.5

  • Price:

    TZS 17,500,000

  • Posted:

    2 years ago

  • Location:

    Dar, Goba

  • Category:

    Real Estate

  • Size (Square meters):

    500 ㎡

  • Negotiable:

    Fixed

  • Views:

    292

Description

GOBA-MIVUMONI
Dar es salaam kwa sqrm tu.
Unaweza ukalipia cash,Au kidogo kidogo bila riba wala dhamana,ndani ya miezi 3,|la Anza na nanusu ya bei kulingana na Ukubwa wa kiwanja utakachochagua.
Vipo kuanzia ukubwa wa sqm zifuatazo:
1.Mita za mraba500
2.Mita za mraba 700
3.Mita za mraba 800
4.Mita za mraba 900 na kuendelea hadi sqm 1,340 niwewe tu.
Malipo

Jamani bei ya viwanja hivi,ni sawa na buree kabisa .Kwasababu bei ya sqm kwa ukanda huu ni Hivi utapata wapi kiwanja kipo jirani na mjini Kwa bei hiyo,yaani sh kwa sqrm? tena isitoshe viwanja vyote vimepimwa? Lakini pia chakuzingatia nikwamba viwanja hivi vipo kwenye makadhi.
Huduma zote za kijamii zipo kama
1.Barabara(tena pana),
2.Maji,
3.Umeme,
4.Shule ,
5.Hosipitali na
6.Nyumba za ibada.

TZS 17,500,000Fixed

Author Information
avatar

Dalali on line Dot Com

Joined: 2 years ago
  • More Ads

    4

Related Ads

product
  • 273
beach plots bagamoyo pwani
Pwani, Dunda   7 months ago
TZS 650,000,000
product
  • 344
viwanja vinauzwa
Pwani, Vianzi   11 months ago
TZS 4,600,000
product
  • 432
kibaha kwa mathias
Pwani, Mlandizi   1 year ago
TZS 230,000,000
product
  • 350
nyumba/eneo linauzwa kunduchi
Dar, Kunduchi   1 year ago
TZS 200,000,000
product
  • 337
beach plot at mbezi beach
Dar, Mbezi   1 year ago
USD 1,200,000
product
  • 448
eneo lenye ukubwa wa sqmt 700 linauzwa milioni 35 lipo madale mbopo
Dar, Kinondoni   1 year ago
TZS 35,000,000
product
  • 333
eneo lenye ukubwa wa sqmt 1200 linauzwa milioni 400 lipo mbezi beach
Dar, Kinondoni   1 year ago
TZS 400,000,000
product
  • 362
22,850m² of land with 12 uptodate title deeds
Dar, Msongola   1 year ago
USD 660,000
product
  • 377