Pwani
TZS 5,000,000
3 days ago
Pwani, Mbwewe
Food & Agriculture
Negotiable
7
shamba la eka 10 linauzwa shamba hili linauzwa
shamba hili lipo hapa Kijiji Cha kwang'andu kata ya mbwewe wilaya ya chalinze mkoa wa pwani
shamba hili linauzwa lote milioni 5
shamba hili lipo kilometa 2 kutokea barabara kuu ya lami iyendayo MKATA CHALINZE
nishamba zuli sana kwakilimo chochote naufugaji pia
kwamawasiliano zaidi piga simu namba
****-***-***