Smart Watch 7
2022
TZS 95,000
2 years ago
Dar, Gerezani
Electronics
New
Negotiable
496
Price 90,000/=
βοΈ.
DESCRIPTION ππΎ
.
β
Screen yake ni HD yani full screen π₯π―
β
Unaweza kuweka profile ya picha yako display π₯
β
Battery 220mah high capacity polymer
β
Charging method USB charger
β
Mikanda yake ni ya kubadilishika size ni 42/44 mm
β
Unaweza kupiga na kupokea simu kama kawaida
β
Unaweza kusoma meseji zako
β
Inanotify meseji za whatsapp,facebook,instagram na Twitter
β
Inapima heartbeats na calories ulizo burn, footsteps, blood pressure, sedentary
β
Unaweza kuconnect music na kupiga picha
β
Ina finding my phone, ina stopwatch, alarm, sleep monitor, calculator, calendar,
.
Unaunganisha na simu yako kwa Bluetooth ( Apps yake ni Mactive) android na apple zote zinakubali
β