Swift Multipurpose Liquid Soap
TZS 8,000
1 week ago
Arusha, Sokoni ii
Business Supplies
Blue
Negotiable
10
Tunauza Sabuni Bora, Ya Maji ( Multipurpose liquid soap)
Karibu ujipatie sabuni nzito na yenye povu jingi na kutakatisha, kwa bei ya Jumla na Rejareja.
β
Inafaa kwa:
Kufulia nguo π
Kuosha vyombo π½οΈ
Kusafisha nyumba na vyooπ
π‘ SIFA ZA SABUNI:
β Povu jingi na usafi wa hali ya juu
β Inaondoa uchafu kwa haraka
β Haibabui wala kupausha ngozi
β Nzito (thick) β haimwagiki kama maji
β Harufu nzuri inayodumu
β Matumizi kidogo β matokeo makubwa
π° BEI ZETU
5L Gallon = 8,000
1 Carton (5L Γ 4) = 30,000/-
5 Cartons = 145,000/-
10 Cartons = 280,000/-
20 Cartons = 535,000/-
1000 Cartons = 24,000,000/-
π HUDUMA:
π₯ Delivery inapatikana, kwa 5+ Cartons ni bure
π₯ Tunapokea oda za jumla na rejareja
π Piga / WhatsApp: ****-***-***
β³ Agiza sasa β Tupo Msimu Wa Ofa..!